Katibu
Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg Daniel Chongolo akimtwisha Ndoo
Kichwani ,Binti Beatrice Masasi katika Kijiji Cha Asweketa (kulia) ni
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe. Omari Mgumba mara baada ya kutembelea Mradi
wa mamlaka ya Maji ya Mji Mdogo wa Vwawa wilayani Mbozi.
Katibu
Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg Daniel Chongolo akisaidia
shuhuli ya Ujenzi wa daraja la idiwili kwenda idunda linalojengwa kwa
gharamia kiasi cha shilingi Milioni90 hadi kukamilika kwake,julai 9
2021.Katibu
Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg Daniel Chongolo akitoka kukagua
ujenzi wa daraja la idiwili kwenda idunda linalojengwa kwa gharamia
kiasi cha shilingi Milioni90 hadi kukamilika kwake,julai 9 2021
Katibu
Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg Daniel Chongolo (kushoto)
akizungumza katika mkutano wa Wanchama wa Shina no2 tawi la hasamba
kitongoji cha senya (kulia) ni balozi wa Shina hilo ndg Edea Samuel
(kulia) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Songwe, Ndg. Elynico Mkola julai 9
2021 wilayani Mbozi.
Katibu
Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg Daniel Chongolo akizungumza
katika mkutano wa Wanchama wa Shina no5 tawi la Idogo kata ya Idiwili
wilayani Mbozi julai 9 2021.
Katibu
Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg Daniel Chongolo (pili kulia)
akigawa kadi ya CCM kwa Mwanachama mpya Ndg Rafael Sarawe
Siwila,(kulia) ni balozi wa Shina Namba 2 Hasanda ndg Edea Samwel tonya
kitongoji cha Senya, wilayani mbozi julai 9 2021.
Katibu
Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg Daniel Chongolo (pili kulia)
akigawa kadi ya CCM kadi Mwanachama mpya Ndg MteniNzundwa Mwamlemela
,(kulia) ni balozi wa shina Namba 2 Hasanda ndg Edea Samwel tonya
kitongoji cha Senya, Wilayani Mbozi julai 9 2021.
Wanachama wa Shina no 2 zaid ya 100 wakila kiapo mara baada ya kukabidhiwa kadi za CCM
Ndg.
Fanuel Mkisi aliyekuwa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Vywawa kupitia
CHADEMA mwaka 2020 akionesha kadi ya CCM mara baada ya kukabidhiwa na
kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkutano wa shina Namba 2
lililopo katika kitongoji cha Senya, Wilayani Mbozi julai 9 2021.
Mbunge
wa Viti Maalum kutokea Mkoa wa Songwe Ndg Juliana Shonza akizungumza na
Wanachama na Viongozi wa shina Namba 2 lililopo katika kitongoji cha
Senya, Wilayani Mbozi julai 9 2021.
Mbunge
wa Jimbo la Vywawa ndg Joseph Hasunga akizungumza na Wanachama na
Viongozi wa shina Namba 2 lililopo katika kitongoji cha Senya, Wilayani
Mbozi julai 9 2021.
Mkuu
wa Mkoa wa Songwe Mhe. Omari Mgumba akizungumza na Wanachama na
Viongozi wa shina Namba 2 lililopo katika kitongoji cha Senya, Wilayani
Mbozi julai 9 2021.Bibi Anna Siwila Mwanachama wa Shina namba 5 kitongoji cha Senya, akifurahi Wilayani Mbozi julai 9 2021.
Katibu
Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg Daniel Chongolo (kulia)
akisikiliza maelezo ya Mganga mkuu wa mkoa wa Songwe Dkt Nyembea Hamadi
alipotembelea maabara ya Hospitali rufaa ya mkoa inayojengwa kwa gharama
za shilingi milioni 997 ,wilayani mbozi julai 9 2021.
Katibu
Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg Daniel Chongolo akizungumza na
viongozi wa serikali pamoja na watumishi wa hospitali ya rufaa ya mkoa
mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Hospitali rufaa ya mkoa
inayojengwa kwa gharama za shilingi Bilioni 4.5 ,wilayani mbozi julai 9
2021.
Mwenyekiti
wa CCM Mkoa wa Songwe, Ndg. Elynico Mkola akipunga mkono kwa wanachama
wa Shina no5 tawi la Idogo kata ya Idiwili wilayani Mbozi julai 9
2021.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg Daniel Chongolo akizungumza na Wazee wa wilaya ya Mbozi jimbo la vywawa
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Godfrey
Chongolo pamoja na wajumbe wengine wa Sekretarieti ya CCM Taifa tarehe
9 Julai, 2021 ameendelea na ziara ya kuimarisha Chama Mashinani mkoani
Songwe baada ya kumaliza mkoa wa Rukwa.
Katibu Mkuu akizungumza
katika kikao cha mapokezi Wilayani Momba amewakumbusha wanaCCM majukumu
makubwa mawili ikiwa ni kuendelea kukijenga na kukiimarisha Chama,
pamoja na kufanya kazi ya kuwaletea wananchi maendeleo.
Katibu
Mkuu ameongeza kuwa kuna vyama kazi zao ni kuikumbusha CCM na kuwafanya
kuwa na bidii zaidi ya kuwahudumia wananchi, hivyo wanaCCM tuendelee
kutimiza jukumu letu la msingi la kuongoza nchi, na wao tuwaache
watimize jukumu lao.
Akianza ziara hiyo mkoani Songwe wilaya ya
Mbozi, Katibu Mkuu amefanya mikutano ya Mashina na kutembelea miradi
mbalimbali ya maendeleo ikwemo mradi wa Maji Kata ya Ihanda, Ujenzi wa
Hospitali ya Mkoa wa Songwe pamoja kukagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja
la Idiwila.
Aidha, Katibu Mkuu akiwa katika mkutano wa shina
namba 02 Kata ya Hasamba, amepokea wanachama wa vyama mbalimbali vya
upinzani zaidi ya 100 waliohamia CCM, wakiongozwa na Ndg. Fanuel Mkisi
aliyekuwa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Vywawa kupitia CHADEMA mwaka 2020.
Post A Comment: