Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Albert Chalamila amekabidhi rasmi majukumu ya ofisi hiyo kwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Mwanza Robert Gabriel Luhumbi.
Mhandisi Gabriel anachukua nafasi ya Chalamila ambaye uteuzi wake umetenguliwa mapema leo Ijumaa Juni 11, 2021.
Post A Comment: