Akidhibitisha kutokea kwa tukio hilo akiwa katika Kituo kidogo cha Polisi cha Makere Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma Kamishna Msaidizi wa Polisi James Manyama amesema tukio hilo limetokea katika Pori la lililopo jirani na kambi ya wakimbizi ya Nduta.
Aidha katika tukio jingine Kamanda Manyama amesema Jeshi hilo limeendelea Operesheni Maalum na kufanikiwa kuwakamata watuhumiwa mbalimbali pamoja na magunia 18 ya bangi yaliyokuwa yakitarajiwa kusafirishwa kuelekea nchi ya jirani ya Burundi.
Source : Itv
Post A Comment: