Wafanyakazi wa Tume ya Nguvu za Atomiki(TAEC) katika picha ya pamoja baada ya kushiriki maandamano na wafanyakazi wa Taasisi nyingine za Jiji la Arusha kwenye maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani maarufu kama Mei Mosi kwa mwaka 2021,ambapo maandamano hayo yalianzia katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha na kuhitimishwa katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa Mhe.Iddi Kimanta.Maadhimisho ya kitaifa yanafanyika jijini Mwanza na kauli mbiu ni Maslahi bora , mishahara Juu na Kazi iendelee
Post A Comment: