Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo (kushoto) na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Idara ya Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka, wakifurahia jambo, walipokuwa katika Mkutano wa Rais Samia Suluhu Hassan na Wazee, uliofanyika katika ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, jana.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo (kushoto) na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Idara ya Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka, wakijadilia jambo kwa undani, walipokuwa katika Mkutano wa Rais Samia Suluhu Hassan na Wazee, uliofanyika katika ukunbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, jana
Post A Comment: