Mbunge wa vitimaalum kundi la vijana Asia Hamlaga amewasili Muhambwe Leo Tarehe 13/05/2021 kwa kishindo kizito.


Hamlaga amesisitiza maendeleo ya muhambwe yapo kwenye himaya ya mgombea wa CCM kwani ndie mwenye kila kitu yaani serikali na vyombo Vyote vya dola.


Hamlaga, achaneni na maneno ya wavuruga mipango ya nchi na mkoa wa kigoma kwanini nasema hivyo ni kwasababu mkoa wa kigoma tulishawaamini sana wapinzani lakini hakuna Chochote walicholeta zaidi ya machafuko na malumbano katika bunge na mkoa huu wa kigoma


Hamlaga, hakuna namna kwa sasa kigoma inahitaji sana viongozi  wenye dira na miongozo sahihi ya chama chao na serikali na hakuna wengine ni viongozi wa CCM


        

Share To:

msumbanews

Post A Comment: