Mkurugenzi Mtendaji wa NIC, Mhe.Dkt.Elirehema Doriye akipokelewa na viongozi wa Shule ya Sekondari Jitegemee baada ya kiwasili katika Sherehe za mahafali ya 27 ya kidato cha Sita yaliyofanyika kwenye ukumbi wa shule hiyo leo Jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Mkuu wa NIC Mhe.Dkt.Elirehema Doriye akisalimiana na baadhi ya viongozi wa shule ya Sekondari Jitegemee baada ya kuwasili katika sherehe za mahafali ya 27 ya kidato cha Sita yaliyofanyika kwenye ukumbi wa shule hiyo leo Jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi Mtendaji wa NIC Mhe.Dkt.Elirehema Doriye akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya Mkuu wa Shule ya Sekondari Jitegemee baada ya kuwasili katika sherehe za mahafali ya 27 ya kidato cha Sita yaliyofanyika kwenye ukumbi wa shule hiyo leo Jijini Dar es Salaam.Mkuu wa Shule ya Sekondati Jitegemee Kanali Robert Kessy akizungumza mara baada ya kuwasili Mkurugenzi Mtendaji wa NIC katika ofisi yake leo kwaajili kuhudhulia sherehe za mahafali ya 27 ya kidato cha Sita yaliyofanyika kwenye ukumbi wa shule hiyo leo Jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi Mtendaji wa NIC Mhe.Dkt.Elirehema Doriye (Wa kwanza kushoto) akiongozana na baadhi ya viongozi wa shule ya Sekondari Jitegemee baada ya kuwasili katika sherehe za mahafali ya 27 ya kidato cha Sita yaliyofanyika kwenye ukumbi wa shule hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa NIC Mhe.Dkt.Elirehema Doriye akizungumza katika mahafali ya 27 ya kidato cha Sita yaliyofanyika kwenye ukumbi wa shule hiyo leo Jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa Bodi ya shule ya Sekondari Jitegemee Brigedia Jenerali (Mstaafu) Lawrence Magere akizungumza katika mahafali ya 27 ya kidato cha Sita yaliyofanyika kwenye ukumbi wa shule hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Mkuu wa shule ya Sekondari Jitegemee Kanali Robert Kessy akizungumza katika mahafali ya 27 ya kidato cha Sita yaliyofanyika kwenye ukumbi wa shule hiyo leo Jijini Dar es Salaam.Makamu Mkuu wa Shule ya Sekondari Jitegemee Meja Mao Waryoba akizungumza katika mahafali ya 27 ya kidato cha Sita yaliyofanyika kwenye ukumbi wa shule hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) Mhe.Dkt.Elirehema Doriye akitoa vyeti kwa wahitimu waliofanya vizuri kwenye masomo yao katika mahafali ya 27 ya kidato cha Sita yaliyofanyika leo kwenye ukumbi wa shule ya sekondari Jitegemee Jijini Dar es Salaam. Mmoja wa wahitimu wa kidato cha Sita shule ya Sekondari Jitegemee akisoma risala katika mahafali ya 27 ya kidato cha Sita yaliyofanyika kwenye ukumbi wa shule hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Scout wa shule ya Sekondari Jitegemee wakitoa burudani katika mahafali ya 27 ya kidato cha sita yaliyofanyika kwenye ukumbi wa shule hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Wanafunzi wa Sekondari Jitegemee wakitoa burudani kwenye mahafali ya 27 ya kidato cha sita yaliyofanyika kwenye ukumbi wa shule hiyo leo Jijini Dar es Salaam.
Wahitimu wa kidato cha sita wakiwa kwenye ukumbi wa mahafali ya 27 ya shule hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Wazazi na walezi wa wahitimu wa kidato cha sita shule ya Sekondari Jitegemee wakiwa kwenye ukumbi wa mahafali ya 27 ya shule hiyo leo Jijini Dar es Salaam.
(PICHA NA EMMANUEL MBATILO)
NA EMMANUEL MBATILO
Shirika la Bima la Taifa (NIC) limetoa kiasi cha shilingi Milioni 26 kwaajili ya ukarabati wa mabweni ya shule ya sekondari Jitegemee ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono jitihada zinazofanywa na shule hiyo.
Akizungumza katika Mahafali ya 27 ya kidato cha Sita shule ya Sekondari Jitegemee (JKT) leo Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa NIC, Mhe.Dkt.Elirehema Doriye amesema
Shirika la Bima la Taifa (NIC) limetoa kiasi cha shilingi Milioni 26 kwaajili ya ukarabati wa mabweni ya shule ya sekondari Jitegemee ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono jitihada zinazofanywa na shuke hiyo.
Akizungumza katika Mahafali ya 27 ya kidato cha Sita shule ya Sekondari Jitegemee (JKT) leo Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa NIC, Mhe.Dkt.Elirehema Doriye amesema menejimenti ya NIC imepokea wazo la menejimenti ya Shule ya Sekondari Jitegemee la kuwa na ushirikiano hususani katika uelimishaji umma na uwekazaji katika Bima.
"Ni kwa kweli niwaambie tu kuwa NIC kama mdau mkubwa wa maendeleo nchini kwa kuongozwa na sera ya kurudisha kwa jamii, mliomba kiasi cha shilingi Milioni 8, tunachangia Shilingi Milioni 26 ambayo ni mara tatu ya mlioiomba". Amesema Dkt.Doriye.
Aidha Dkt. Doriye amewataka wahitimu kubadili maarifa yao kuwa ujuzi utakaowapa fursa za kutumia rasilimali zinazotuzunguka kuzalisha mali na kukuza biashara.
Pamoja na hayo Dkt.Doriye amesema kuwa wale watakaoshindwa kuendelea na masomo moja kwa moja, wajishughulishe na shughuli rasmi za kuingiza mapato halali.
"Msibweteke kuamini kuwa ajira ni zile za kuwa ofisini tu hapana, taifa linahitaji kila Mtanzania achape kazi popote alipo. Hii itasaidia katika kuongeza tija na pato kwa mtu mmoja mmoja na taifa hivyo huduma za kijamii kuimarika zaidi". Amesema Dkt.Doriye.
Kwa upande wake Mkuu wa Shule hiyo Kanali Robert Kessy amesema wamekuwa wakijitahidi kuwaeleza wazazi na walezi wa wanafunzi kuhusu umuhimu wa ulipaji ada ingawa mpaka sasa umekuwa hafifu na kupelekea wanafunzi kurudishwa nyumbani ili kuweza kulipa ada hivyo kusababisha kukosa vipindi vya masomo darasani.
"Kuna wazazi bado wanakuja kuomba uvumilivu kwasababu shule yetu ni yakusomesha watoto wote hasa maskini huwa tunawasikiliza ila mrejesho wenu wazazi na walezi sio mzuri". Amesema Kanali Kessy.
Post A Comment: