
SIKU ya Wanawake Duniani Machi 08,2021 yanayofanyika kimkoa Wilaya ya Bahi, Dodoma.
Katika sherehe hizo wanawake walipata elimu kuhusu mambo mbalimbali, ikiwemo ujasirilimali, Elimu ya kumiliki ardhi pamoja na fursa mbalimbali zinazotokana na Kilimo.
Siku hiyo inaongozwa na Kauli Mbiu "Wanawake katika Uongozi,Chachu ya kufikia Dunia yenye usawa.
Post A Comment: