Home
Unlabelled
PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI ZA IBADA MAALUM YA MAZISHI YA HAYATI JPM KATIKA UWANJA WA MAGUFULI CHATO MKOANI GEITA.
Kutoka
Chato mkoani Geita kwenye ibada maalum ya mazishi ya aliyekuwa Rais wa
Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. Tayari viongozi
mbalimbali na wananchi wameshawasili katika uwanja wa Magufuli ambapo
shughuli za ibada zitafanyika.
Back To Top
Post A Comment: