Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa  wa Arusha Ndugu Zelothe Stephen Zelothe amewaongozaa Wajumbe wa Kamati ya Siasa Mkoa kusaini kitabu cha Maombolezo ya Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika Jengo la Ccm Mkoa mapema hii leo.Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha Musa Matoroka akisaini Kitabu cha maombolezo.Katibu Mwenezi Mkoa wa Arusha Gerrald Munisi akisaini Kitabu cha Maombolezo.Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Yasin Bachu akisaini Kitabu Cha Maombolezo.


Mjumbe Wa Baraza Kuu La Wazazi Taifa Victor Mollel akisaini kibabu cha maombolezo nje ya jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mhe.Kimj akisaini Kitabu Cha Maombolezo.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Arusha Omary Lumato akisaini Kitabu cha Maombolezo.
Mjumbee wa Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Arusha Robert Kaseko akisaini kitabu cha maombolezo.
Katibu wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Arusha akisaini Kitabu.
Katibu wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Mkoa wa Arusha akisaini Kitabu cha maombolezo.
Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Mkoa Neema Mollel akisaini Kitabu.



Share To:

Post A Comment: