Na Mwandishi wetu, Shinyanga
NAIBU waziri wa maji mhandisi Maryprsca Mahundi(Mb) amewapongeza viongozi wa chama Cha mapinduzi (CCM)wilaya ya Kahama kwa usimamizi mzuri wa Ilani ya Chama cha mapinduzi pia ushirikiano mzuri na wakala wa usambazaji maji vijijini kwa jitihada za kusimamia miradi ya maji vijijini.
Naibu Waziri Mahundi amesema hayo leo wakati alipotembelea Ofisi za Chama cha Mapinduzi Ccm wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga.
Mwisho.
Post A Comment: