Habari zilizotufikia ni kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Ndugu Richard Kwitega amefariki dunia kwenye ajali iliyotokea Magugu akielekea Dodoma kikazi.


Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Idd Kimanta amethibitisha kutokea kwa kifo hicho Cha Katibu Tawala Richard Kwitega.


Share To:

Post A Comment: