Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) Mhandisi Prof. Sylvester Mpanduji,akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira katika semina iliyofanyika leo Bungeni jijini Dodoma
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) Mhandisi Prof. Sylvester Mpanduji akiwaelimisha wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira katika semina iliyofanyika leo Bungeni jijini Dodoma
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda Biashara na Mazingira Mhe. Dkt Charles Kimei akitoa maoni kuhusu uboreshaji wa huduma zinazotolewa na SIDO kwa kutumia TEHAMA katika semina iliyotolewa na ili kuwaelimisha Kamati hiyo kuhusu Majukumu na Mafanikio ya SIDO iliyofanyika leo Bungeni jijini Dodoma
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara akizungumzia mapendekezo kuhusu uboreshaji na utoaji wa huduma za SIDO kwa kutumia teknolojia ya Kisasa katika semina ya kuwaelimisha wajumbe wa kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda Biashara na Mazingira kuhusu Majukumu na Mafanikio ya SIDO iliyofanyika leo Bungeni jijini Dodoma
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda Biashara na Mazingira Mhe. Erick Shigongo akitoa maelekezo kwa SIDO kuongeza juhudi na ubunifu katika utoaji wa huduma ili kukuza viwanda na kuongeza ajira nchini katika semina ya kuwaelimisha wajumbe kuhusu Majukumu na Mafanikio ya SIDO iliyofanyika leo Bungeni jijini Dodoma
Naibu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda Biashara na Mazingira Mhe. Erick Shigongo akisisitiza jambo kwa SIDO kuongeza juhudi na ubunifu katika utoaji wa huduma ili kukuza viwanda na kuongeza ajira nchini katika semina ya kuwaelimisha wajumbe kuhusu Majukumu na Mafanikio ya SIDO iliyofanyika leo Bungeni jijini Dodoma
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara akijumuisha maoni na mapendekezo kuhusu uboreshaji na utoaji wa huduma za SIDO kwa kutumia teknolojia ya Kisasa katika semina ya kuwaelimisha wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda Biashara na Mazingira kuhusu Majukumu na Mafanikio ya SIDO iliyofanyika leo Bungeni jijini Dodoma
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda Biashara na Mazingira Mhe. Cecil Mwambe akitoa maoni kuhusu SIDO kutoa huduma bora kwa teknolojia ya kisasa katika semina iliyotolewa na ili kuwaelimisha Kamati hiyo kuhusu Majukumu na Mafanikio ya SIDO iliyofanyika leo Bungeni jijini Dodoma
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda Biashara na Mazingira wakisikiliza kwa makini wasilisho kuhusu Majukumu na Mafanikio ya SIDO katika semina iliyofanyika leo Bungeni jijini Dodoma.
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira imeliagiza Shirika la kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) kuongeza juhudi na ubunifu katika utoaji wa huduma zinazotumia teknolojia ya kisasa ili kukuza viwanda vidogo na kuongeza ajira nchini.
Hayo, yamesemwa na Naibu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda Biashara na Mazingira, Erick Shigongo wakati wa semina iliyolenga kuwaelimisha wajumbe wa Kamati hiyo kuhusu utekelezaji wa majukumu ya SIDO na mafanikio yake iliyofanyika jana katika ukumbi wa Bunge jijini Dodoma.
Post A Comment: