Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Charles Mbuge (kulia) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald Kusaya wakitiliana sahihi mkataba wa ushirikiano katika kilimo wakati wa hafla iliyofanyika Makao Makuu ya JKT, Wilaya ya Chamwino, Dodoma jana.
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Charles Mbuge (kulia) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald Kusaya wakibadilisha hati baada ya kutiliana sahihi mkataba wa ushirikiano katika kilimo wakati wa hafla iliyofanyika Makao Makuu ya JKT, Wilaya ya Chamwino, Dodoma jana. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA.
Post A Comment: