WANAWAKE laki moja ni Asasi iliyoanzishwa kwa kufuata sheria na taratibu za Nchi mnamo mwezi wa Kwanza 2020.
Lengo lake kuu ni Kuunganisha Wanawake wote Nchini Kupinga Ukatili wa Kijinsia na Umaskini.
Mpaka
sasa mtandao huu una wanachama katika Mikoa 17 Nchi nzima na kila Mkoa
una uongozi ambao una Mwenyekiti, Katibu na Mwekahazina.
Mnamo
tarehe 5/12/2020 Asasi ina kwenda kuzinduliwa ndani ya Ukumbi wa Banki
kuu (BOT) Mkoani Mwanza kuanzia saa nne asubuhi hadi saa kumi jioni kwa
kiingilio cha Shilingi elfu ishirini tu.
Kwa
atakayetaka kushiriki na kuwa mwanachama anaweza ku wasiliana kwa njia
ya WhatsApp kwa kutuma ujumbe kwa Katibu wa Mtandao Bi Josephine Ngoda
kwa namba..0620765411
Post A Comment: