Diwani wa Machame Magharibi wilayani Hai Martin Munisi amehoji kiapo walicha apishwa madiwani kuwa ndiyo kiapo cha kwanza kwa nchi mzima   hii ni baada ya hakimu kuwaapisha kwa jumla wakiwa kwenye viti bila kushika kitabu chochote cha dini kama ilivyozoeleka 


Diwani Munisi aliomba mongozo kujua nisababu gani zimetumika kwa madiwani hao kuapa kwa jumla kama kiapo cha kipa imara wakati bunge lilitumia siku tatu kuapa iweje leo madiwani 24 waapishwe kwa dakika 3 ?


Baada ya mkurugenzi mtendaji kukosa majibu mwakilishi wa RAS alitoa majibu yaliyoacha maswali zaidi kwa kumjibu diwani Munisi kuwa mongozo wa TAMISEM unamtaka kamishina anayetoa kiapo kutumia njia yoyote ile anayoiona inafaaa .

Share To:

msumbanews

Post A Comment: