Home
Unlabelled
Godbless Lema Apoteza Jimbo la Arusha Mjini.....Mshindi ni Mrisho Gambo
Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Arusha Mjini Mrisho Gambo ametangazwa kuwa mbunge mteule wa jimbo hilo baada ya kupata kura 82,480 akifuatiwa na Godbless Lema CHADEMA aliyepata kura 46,489.
Back To Top
Post A Comment: