Viongozi wa Tume ya Madini  wakiongozwa na Kamishna wa Tume ya  Madini, Dkt. Athanas Macheyeki  wametembelea Banda la Tume ya Madini kwenye Maonesho ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini yanayoendelea katika Uwanja wa Kituo cha Uwekezaji Bombambili Geita Majini .

Viongozi wengine wa Tume ya Madini waliotembelea banda la Tume ni pamoja na Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Geita, Mjiolojia Daniel Mapunda,  Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Shinyanga, Mhandisi Joseph Kumburu, Mkurugenzi wa Ukaguzi na Biashara ya Madini, Venance Kasiki, Meneja wa Ukaguzi wa Fedha, Kodi na Ushirikishwaji wa Watanzania kwenye Sekta ya Madini, Geoffrey Nsemwa, Mjumbe wa Kamati ya Ushirikishwaji wa Watanzania kwenye Sekta ya Madini kutoka Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF),  Ringo Iringo na wataalam kutoka Makao Makuu ya Tume ya Madini.









Share To:

msumbanews

Post A Comment: