Mwenyekiti wa Kikosi kazi cha Kitaifa cha Uandaaji wa Mpango wa utekelezaji wa Mwongozo wa Hiari wa kuhakikisha Uvuvi Mdogo Unakuwa Endelevu, Alhaj Yahya Ibrahim Mgawe akitoa neno la utangulizi kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufungua warsha ya Uandaaji wa Mpango huo iliyofanyika kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji leo mkoani Kigoma.
Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji, Bw.Ferdinand Filimbi akifungua warsha ya uandaaji wa Mpango wa utekelezaji wa Mwongozo wa Hiari wa kuhakikisha Uvuvi Mdogo Unakuwa Endelevu iliyofanyika kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji leo mkoani Kigoma.
Bi. Upendo Hamidu akiwasilisha mada kwenye warsha ya uandaaji wa Mpango wa utekelezaji wa Mwongozo wa Hiari wa Kuhakikisha Uvuvi Mdogo Unakuwa Endelevu iliyofanyika kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji leo mkoani Kigoma.
Baadhi ya washiriki wa warsha ya uandaaji wa Mpango wa utekelezaji wa Mwongozo wa Hiari wa Kuhakikisha Uvuvi Mdogo Unakuwa Endelevu wakifuatilia uwasilishwaji wa mada kwenye warsha hiyo iliyofanyika kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji leo mkoani Kigoma.
Kikosi kazi cha kitaifa cha uandaaji wa Mpango wa utekelezaji wa Mwongozo wa Hiari wa kuhakikisha Uvuvi Mdogo Unakuwa Endelevu kwenye picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi na Wakuu wa Idara zilizo chini ya Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji,Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma na wawakilishi kutoka FETA na Benki mara baada ya ufunguzi rasmi wa warsha ya ukusanyaji maoni ya utekelezaji wa Mpango huo iliyofanyika leo mjini Kigoma.
Post A Comment: