Home
UCHAGUZIMKUU2020
PICHA : RAIS MAGUFULI AKISALIMIANA NA MAMA MARIA NYERERE KWENYE MKUTANO WA KAMPENI CCM MARA
Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere akisalimiana na Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais Dkt John Pombe Magufuli akihutubia mkutano wa hadhara wa kampeni katika uwanja wa Mkendo mjini Musoma mkoa wa Mara leo Jumamosi Septemba 5, 2020
Back To Top
Post A Comment: