Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Salome Makamba akisalimiana na wananchi wa kata ya Ndembezileo Ijumaa Septemba 11,2020 wakati Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 kunadi sera za CHADEMA. Picha zote na Kadama
Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Salome Makamba akisalimiana na wananchi wa kata ya Ndembezileo Ijumaa Septemba 11,2020 wakati Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 kunadi sera za CHADEMA

Kushoto ni Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Shinyanga Mjini, Hamis Ngunila akimnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Salome Makamba 'Ng'wana O Shimba'
Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Salome Makamba 'Ng'wana O Shimba' akimnadi Mgombea Udiwani kata ya Ndembezi, Rojaz Mshana leo Ijumaa Septemba 11,2020.
Mgombea Udiwani kata ya Ndembezi, Rojaz Mshana akiomba kura kwa wananchi wamchague kuwa diwani wa kata hiyo
Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Salome Makamba 'Ng'wana O Shimba' akiwahutubia wananchi wa kata ya Ndembezi na kuwaomba wachague wagombea wa CHADEMA

Kada wa CHADEMA Joseph Kasambala akizungumza wakati Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 kunadi sera za CHADEMA
Kada wa CHADEMA Titus Jilungu akizungumza wakati Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 kunadi sera za CHADEMA

Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Salome Makamba 'Ng'wana O Shimba' leo Ijumaa Septemba 11,2020 amefanya Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 katika kata ya Ndembezi kunadi sera za CHADEMA kwa ajili ya kuwaletea maendeleo wananchi.

Salome Makamba ambaye alikuwa ameongozana na viongozi mbalimbali wa CHADEMA wakati wa mkutano wake wa kampeni katika kata ya Ndembezi, amewaomba wakazi wa kata ya Ndembezi kumchagua kuwa mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini na Rojas Mshana kuwa diwani wa kata hiyo pamoja na Tundu Lissu kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Amesema endapo atachaguliwa kuwa mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini atahakikisha anatatua changamoto zinazowakabili wananchi ikiwemo katika sekta ya elimu,afya,machinjio ya mifugo.

Katika hatua nyingine Salome Makamba ameeleza kusikitishwa na kitendo cha watu wasiojulikana kuchana mabango yake katika baadhi ya maeneo akitolea mfano Ibadakuli na Kitangili.
Share To:

TANGA RAHA BLOG

Post A Comment: