Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Babati Mjini Pauline Gekul (katikati) na Esther Mahawe (kushoto) wakati alipowaasa wanaCCM wote waliotia nia ya kugombea ubunge wa Jimbo hilo waondoe tofauti zao na wamuunge mkono mgombea aliyeteuliwa na CCM . Alikuwa akizindua Kampeni za CCM katika Mkoa wa Manyara kwenye uwanja wa Kwaraa mjini Babati
Post A Comment: