Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekuwa Mshindi wa kwanza katika kundi la Mamlaka ya Udhibiti wa Bidhaa na Huduma kwenye Maonesho ya Wakulima Nane Nane 2020 kitaifa yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Nyakabindi, Bariadi mkoani Simiyu ikiwa na Kauli mbiu ya 'Tumia Mawasiliano kwa maendeleo ya kilimo mifugo na uvuvi,Chagua viongozi bora 2020. Pichani kushoto ni Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga akimkabidhi kombe la ushindi Mkuu wa TCRA Kanda ya Ziwa, Mhandisi Francis Mihayo.(Picha na TCRA).

Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga akimkabidhi kombe la ushindi Mkuu wa TCRA Kanda ya Ziwa, Mhandisi Francis Mihayo.
Mkuu wa TCRA Kanda ya Ziwa, Mhandisi Francis Mihayo akifurahia kombe la ushindi wa kwanza katika kundi la Mamlaka ya Udhibiti wa Bidhaa na Huduma kwenye Maonesho ya Wakulima Nane Nane 2020 kitaifa yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Nyakabindi, Bariadi mkoani Simiyu.
Maafisa kutoka TCRA Kanda ya Ziwa wakifurahia kombe la ushindi wa kwanza katika kundi la Mamlaka ya Udhibiti wa Bidhaa na Huduma kwenye Maonesho ya Wakulima Nane Nane 2020 kitaifa yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Nyakabindi, Bariadi mkoani Simiyu.

Mkuu wa TCRA Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Asajile John (kulia) akikabidhiwa Kombe la Ushindi wa Kwanza na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson katika Maonyesho ya Nane Nane Nyanda za Juu Kusini

Maafisa kutoka TCRA Kanda ya Nyanda za Juu Kusini wakiwa na ngao na cheti cha ushindi kundi la Mamlaka ya Udhibiti wa Bidhaa na Huduma kwenye Maonesho ya Wakulima Nane Nane 2020 Nyanda za Juu Kusini.
Share To:

Post A Comment: