Home
UCHAGUZIMKUU2020
Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga Achukua Fomu Ya Kugombea Ubunge Jimbo La Vwawa Kupitia Tiketi Ya CCM
Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga amechukua Fomu ya Kugombea Ubunge Jimbo la Vwawa Mkoani Songwe kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi leo Julai 14, 2020. Anayemkabidhi fomu hiyo ni Katibu wa CCM Wilaya ya Nbozi Ndg Julius Mbwiga.
Back To Top
Post A Comment: