Makamu Mwenyekiti wa CCM (bara), Mzee Philip Mangula akisalimiana na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina muda mfupi baada ya kumalizika mazishi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu, Hayati Benjamin William Mkapa kijijini kwake Lupaso Masasi Mtwara.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina (kulia) akiteta jambo na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe (kushoto) muda mfupi baada ya kumalizika mazishi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu, Hayati Benjamin William Mkapa kijijini kwake Lupaso Masasi Mtwara
Spika we Bunge Mstaafu, Anna Makinda (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina (kulia) muda mfupi baada ya kumalizika mazishi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu, Hayati Benjamin William Mkapa kijijini kwake Lupaso Masasi Mtwara
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina akisalimiana na baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Lupaso Masasi Mtwara waliofika kwenye mazishi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu, Hayati Benjamin William Mkapa
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina akisalimiana na Inspekta Jenerali wa Polisi Mstaafu (IGP), Omari Mahita mara baada ya kumalizika mazishi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu, Hayati Benjamin William Mkapa kijijini kwake Lupaso Masasi Mtwara
Post A Comment: