Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Mwanasiasa Mkongwe nchini, Balozi Job Lusinde, nyumbani kwa marehemu eneo la Kilimani jijini Dodoma, kutoa pole kwa familia, Julai 9, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela, wakati akiwasili kutoa pole kwa familia ya msiba wa Mwanasiasa Mkongwe nchini, Balozi Job Lusinde, nyumbani kwa marehemu eneo la Kilimani jijini Dodoma, , Julai 9, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapa pole ya msiba, familia ya Mwanasiasa Mkongwe nchini, Balozi Job Lusinde, nyumbani kwa marehemu eneo la Kilimani jijini Dodoma, Julai 9, 2020. Kutoka kushoto ni Mjane, Sarah Job Lusinde, Mtoto wa marehemu, Dkt. Mahewa Job Lusinde na Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post A Comment: