Wakuu wa mikoa ya Mbeya, Katavi pamoja na Kilimanjaro wamekutana na kufanya mazungumzo ya pamoja kuhusu fursa ya uwekezaji zilizopo katika mikoa hiyo.
Wakuu wa mikoa waliokutana ni pamoja na Mkuu wa Mbeya, Albert Chalamila, Anna Mughwira mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro pamoja na Juma Homera Mkuu wa Mkoa WA Katavi.
Pamoja na kufanya mazungumzo hayo wamempongeza Dkt. Hussein Mwinyi kwa ushindi aliopata wa kupeperusha bendera ya chama cha Mapinduzi huko Zanzibar.
Post A Comment: