Wanachama na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamejitokeza Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kumpokea Tundu Lissu. 
 
Lissu anarejea leo Jumatatu tarehe 27 Julai 2020 akitoka nchini Ubelgiji alikokuwa akipata matibabu baada ya kushambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 na watu wasiojulikana mchana wa tarehe 7 Septemba 2017 mjini Dodoma.
Share To:

Post A Comment: