Makamu Mwenyekiti wa Chadema- BaraTundu Antiphas Lissu, amewasilia nchini leo Jumatatu tarehe 27 Julai 2020.
Lissu amewasilia nchini Tanzania akitokea Ubelgiji kwa ndege ya Shairika la Ethiopia na kupokelewa na viongozi wa Chadema, ndugu, jamaa na marafiki katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.
Back To Top
Post A Comment: