Mlinzi wa zamani wa Baba wa Taifa (aliyemfia hospitali London) ambaye pia alikuwa mlinzi mkuu wa Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa pamoja na viongozi wengine wakuu wa nchi jirani,Aloyce Tendewa amechukua fomu ya kuwania ubunge jimbo la Kilombero kwa tiketi ya CCM
Post A Comment: