Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Kuwa Mgombea Wa Urais wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania MSUMBA on July 10, 2020 Kitaifa, Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM umempitisha Dkt John Magufuli kuwa mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwa ndiye mwanachama pekee aliyejitokeza kuchukua fomu. Share To: NextNewer Post PreviousOlder Post MSUMBA View Profile
Post A Comment: