Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na kupokea salam za rambirambi kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe Mhe. Emmerson Mnangagwa zilizowasilishwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zimbabwe Mhe. Kembo C.D Mohadi leo Julai 28, 2020 Ikulu Jijini Dar es salaam, kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Hayati Mzee Benjamin William Mkapa. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Post A Comment: