KAIRUKI ACHUKUA FOMU JIMBO LA SAME MAGHARIBI MSUMBA on July 14, 2020 UCHAGUZIMKUU2020, Waziri wa Uwekezaji Angela Jasmine Kairuki amechukua fomu ya Kugombea Ubunge Jimbo la Same Magharibi kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi leo Julai 14 , 2020. Anayemkabidhi fomu hiyo ni Katibu wa CCM Wilaya ya Same bibi Victoria Mahembe. Share To: NextNewer Post PreviousOlder Post MSUMBA View Profile
Post A Comment: