ASKOFU GWAJIMA AJITOSA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KAWE MSUMBA on July 14, 2020 UCHAGUZIMKUU2020, Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi. Share To: NextNewer Post PreviousOlder Post MSUMBA View Profile
Post A Comment: