Home
UCHAGUZIMKUU2020
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri Achukua Fomu ya Kugombea Ubunge Jimbo la Siha
Mbunge wa zamani wa jimbo la Siha,na mkuu wa mkoa mstaafu wa Tabora Aggrey Mwanri amechukua fomu ya ubunge wa jimbo la Siha Mkoani Kilimanjaro kupitia chama cha Mapinduzi - CCM
Back To Top
Post A Comment: