Wananchi wa kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa  wakimshangilia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowasalimia katika Zahanati ya kijiji hicho, Juni 24, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoka katika gari la kubeba wagonjwa alilomkabidhi Mkuu wa wilaya ya Ruangwa, Hashim Mgandilwa kwa ajili ya Kituo cha Afya cha Luchelegwa wilayani humo, Juni 24, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi gari la kubeba wagonjwa, Mkuu wa wilaya ya Ruangwa, Hashim Mgandilwa kwa ajili ya Kituo cha Afya cha Luchelegwa  wilayani humo, Juni 24, 2020. Mheshimiwa Majaliwa alikuwa katika ziara ya kikazi wilayani humo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



Share To:

Post A Comment: