Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na Viongozi wa ngazi ya taifa na Kamati ya utendaji ya Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) alipokutana nao kwa lengo la kuwapongeza viongozi hao. Kulia ni Rais wa Chama Walimu Tanzania (CWT) Bi. Leah Ulaya.
Post A Comment: