KIKONGWE wa miaka 100, Yusufu Alfonso Mkomwa akikabidhiwa kadi yake ya kupigia kura baada ya kuifanyia uhakiki wa taarifa zake kwenye daftari la awalai la wapigakura na kurekebisha taarifa zake katika Kituo cha uhakiki kilichopo Kata ya Viwandani jijini Dodoma jana. Anaemkabidhi kadi hiyo ni Mwandishi Msaidizi Queen Pius. (Picha na NEC).
KIKONGWE wa miaka 100, Yusufu Alfonso Mkomwa akiweka saini katika kadi yake ya kupigia kura baada ya kufanya uhakiki wa taarifa zake kwenye daftari la awali la mpigakura katika Kituo cha uhakiki kilichopo Kata ya Viwandani jijini Dodoma jana. Anaemsaidia ni Mwandishi Msaidizi Queen Pius na kushoto ni Mwendeshaji wa BVR, Hilda Mpangala. (Picha na NEC)
Wakazi wa Kata ya Mnadani Halmashauri ya jiji la Dodoma wakihakiki wa taarifa zao kwenye daftari la awalai la wapigakura. (Picha na NEC)
Post A Comment: