Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni leo tarehe 22 Juni 2020, amejitokeza katika ofisi kuu za CCM zilizopo Kisiwandui mjini Zanzibar kuchukua fomu kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) visiwani Zanzibar kugombea urais.
Masauni anafanya idadi ya makada wa chama hicho waliojitokeza kuomba kuteuliwa visiwani humo kufika 17.
Post A Comment: