Wakati Pazia la Uchukuaji wa fomu likiwa linakwenda ukingoni Mwanamke Mwingine ambaye anajulikana kwa jina la Husna Attai Masaoud amekuwa mgombea wa 25 kujitokeza kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM.
Husna Attai Masoud kwa siku ya leo amekuwa amekuwa mgombea wa mwanzo kufungua pazia hilo la kuchukua fomu huku baadhi ya wagombea wakiwa tayari wameshanza kurejesha fomu hizo.
Post A Comment: