Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza
akitazama masalia ya Tembo na Nyati baada ya kupata maelezo kwa ufupi
kutoka Muhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Tarangire Bi. Neema Mollel (
hayupo pichani) wakati alipoongoza wajumbe wa Maadhimisho ya Miaka 40
ya Umoja wa Posta Afrika kutoka katika nchi 45 za umoja huo
walipotembelea hifadhi ya Taifa ya Tarangire jana Januari 19/2019.
Naibu
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza
akipokea maelezo kuhusu masalia ya Tembo na Nyati kutoka kwa Muhifadhi
Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Tarangire Bi. Neema Mollel wakati
alipoongoza wajumbe wa Maadhimisho ya Miaka 40 ya Umoja wa Posta Afrika
kutoka katika nchi 45 za umoja huo walipotembelea hifadhi ya Taifa ya
Tarangire jana Januari 19,/2019.
Post A Comment: