Rais
John Magufuli wa Tanzania ametoa mwaliko kwa Maofisa Watendaji wa Kata
kutoka Halmashauri zote nchini humo kuhudhuria mkutano Septemba 2, 2019
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Taarifa iliyotolewa Agosti 23, 2019 na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) na kusainiwa na katibu mkuu wake, Joseph Nyamhanga imeeleza mkutano huo utafanyika katika viwanja vya Ikulu saa 2:00 asubuhi.

Post A Comment: