BAADA YA KUONGEZA KWA MATUKIO YA MATENDO YA UKATILI NA  MIMBA ZA UTOTONI KWA WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI WANOTOKA KWENYE  JAMII ZA KIFUGAJI KATIKA WILAYA YA ARUMERU ZINAZOTAJWA KUKATISHA NDOTO ZA WANAFUNZI HAO KATIKA MASOMO  WADAU WA ELIMU WAMEANZA KAMPENI MAALUM  KWA WATOTO PAMOJA NA WAZAZI HILI KUKOMESHA TABIA HIYO

KATIKA KAMPENI HIYO ILIYOANZA KUTEKELEZWA KATIKA SHULE KUMI ZA MSINGI NA SEKONDARI ZINAZIODAIWA KUWA NA IDADI KUBWA YA WANAFUNZI WALIATHIRIKA KWA MATENDO YA UKATILI PAMOJA NA MIMBA ZA UTOTONI WADAU WANAELEZA SABABU YA KUFIKIA HATUA HIYO….bi gladness palangyo mdau wa elimu na haki za watoto-

MWAKILISHI WA  HOSPITALI YA HALMASHAURI YA MERU DK GIDION MANYI KUTOKA KITENGO CHA MAMA NA MTOTO  ANASEMA NAMNA  WAZAZI WA JAMII HIYO WANAVYOCHANGIA KUVURUGA MASHITAKA YANAYOHUSU UKATILI NA MIMBA KWA WANANFUNZI.

 AFISA USTAWI WA JAMII WA HALAMASHAURI YA WILAYA YA MERU  RESTUTA MVUNGI  ANAFAFANUA SHERIA  INAVYOAHINISHA KWA MTOTO MDOGO NA BAADHI YA WANAFUNZI WANAELEZA MATARAJIO YAO BAADA YA KUANZA KWA KAMPENI HIYO.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: