Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki,
Profesa Palamagamba Kabudi wakati alipowasili kwenye hoteli ya Yokohama
Bay nchini Japan Agosti 26, 2019, ambako anatarajiwa
kushiriki kwenye mkutano wa TICAD 7 na kufanya ziara ya kikazi
nchini humo. Kulia ni Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Japan, John
Kambona.
Majaliwa akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Afrika ya Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi wakati alipowasili kwenye
hoteli ya Yokohama Bay nchini Japan Agosti 26, 2019, ambako
anatarajiwa kushiriki kwenye mkutano wa TICAD 7 na kufanya ziara ya
kikazi nchini humo. Kulia ni Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Japan, John
Kambona.
Majaliwa akisalimiana na baadhi ya maofisa wa serikali
ya Tanzania wakati alipowasili kwenye hoteli ya Yokohama Bay
nchini Japan Agosti 26, 2019, amabako anatarajiwa kushiriki kwenye
mkutano wa TICAD 7 na kufanya ziara ya kikazi nchini humo. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post A Comment: