Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi (wa pili kushoto) na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma (wa tatu kulia) katika picha ya pamoja baada ya kuwaapisha Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Lugha Bashungwa (wa pili kulia) Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bw. Charles Edward Kichere (wa kwanza kulia) na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Edwin Paul Mhede (kushoto) Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 10, 2019.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi (wa pili kushoto) na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma (wa tatu kulia) na Makatibu Wakuu na Naibu Katubu Wakuu katika picha ya pamoja baada ya kuwaapisha Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Lugha Bashungwa (wa pili kulia) Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bw. Charles Edward Kichere (wa kwanza kulia) na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Edwin Paul
Mhede (kushoto) Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 10, 2019.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi (wa pili kushoto) na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma (wa tatu kulia) na Mwenyekiti wa Bharti Airtel Bw. Sunil Mittal na timu yake ya majadiliano (nyuma ya Rais) katika picha ya pamoja baada ya kuwaapisha Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Lugha Bashungwa (wa pili kulia) Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bw. Charles Edward Kichere (wa kwanza kulia) na Kamishna Mkuu wa
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Edwin Paul Mhede (kushoto) Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 10, 2019.




Share To:

Post A Comment: