Mkuu Kassim Majaliwa ameipongeza Klabu ya Simba kwa kuiwakilisha vyema Tanzania katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika.

Ameliambia Bunge kuwa serikali iko pamoja na klabu hiyo na inaitakia kila lililo la heri katika mechi yake ya kwanza ya robo fainali ya michuano hiyo dhidi ya TP Mazembe itakayopigwa kwenye Uwanja wa Taifa Jumamosi.


Share To:

Post A Comment: