Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Adolf
Ndunguru kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango (Sera) Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Msafiri Mbibo kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Ikulu jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa
Wizara ya Fedha na Mipango (Sera) Adolf Ndunguru akiwa pamoja na Naibu Kamishna
Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakati wakila Kiapo cha Uadilifu Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza salamu mbalimbali zilizokuwa zikitolewa Ikulu jijini Dar es Salaam mara baada ya kumuapisha Adolf Ndunguru kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango (Sera) pamoja na Msafiri Mbibo kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kuwaapisha
viongozi hao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Post A Comment: