Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Naibu Waziri wa Nishati Subira
Mgalu (kushoto), Bungeni jijini Dodoma, Aprili 9, 2019 katikati ni Mbunge wa
Viti Maalum Salma Kikwete. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji Angela Kairuki, akiongea Bungeni jijini Dodoma, Aprili 9, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Suleiman Jaffo, akiongea Bungeni jijini Dodoma, Aprili 9, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongea na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Suleiman Jaffo, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 9, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kilolo Venance Mwamoto, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili 9, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Post A Comment: