Na Clavery Christian, Bukoba

Afisa Elimu mkoa Kagera, Aloyce Kamamba amekagua ujenzi wa vyumba vya madarasa na maabara pamoja na choo katika shule za sekondari wilayani biharamulo mkoani Kagera ambapo amewataka wakuu wa shule kusimamia vizuri fedha zilizotolewa na serikali pamoja na halmashauli.


Share To:

msumbanews

Post A Comment: