Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro akisalimiana na mwakilishi wa Balozi wa China hapa nchini Mr Xu Chen baada ya kuwasili katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi katika hafla fupi ya kupokea majengo saba yaliojengwa kwa ufadhili wa Serikali ya China.(Picha na Jeshi la Polisi)
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya
Ndani Meja Jenerali Jacob G. Kingu akipokea mfano wa funguo kutoka kwa mwakilishi
wa Balozi wa China Mr Xu Chen baada ya
kumaliza kukabidhiwa majengo saba yatakayo tumika kwa ajili ya ukufunzi wa Maafisa na Askari katika chuo cha
Polisi Moshi.(Picha na Jeshi la Polisi)
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP
Simon Sirro akipokea mfano wa funguo kutoka kwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya
Ndani Meja Jenerali Jacob G. Kingu baada kupokea majengo saba yaliojengwa kwa
ufadhili wa serikali ya China. (Picha na Jeshi la Polisi)
Post A Comment: